Hali ya wasiwasi imeendelea kugubika eneo la Mapashi katika mpaka wa Kisii na Transmara baada ya watu wasiojulikana kuvamia na kuteketeza zaidi ya ekari 70 mashamba ya miwa eneo hilo. Wakulima walioathirika wanakadiria hasara ya thamani isiyojulikana huku maafisa wa usalama wakiendelea kushika doria na uchunguzi wa tukio hilo

MASK9.COM - FOR YOU, WITH LOVE.