Kongamano la kujadili matatizo yanayokumba sekta ya miwa nchini limeng’oa nanga rasmi kaunti ya kakamega, washikadau waliohusishwa wakiraiwa kuangazia kwa kina kiini cha matatizo ya kilimo cha miwa na usagaji wa sukari, mswada unaolenga kuboresha sekta hiyo unapotazamiwa kupasishwa hivi karibuni

MASK9.COM - FOR YOU, WITH LOVE.